Self Service

1. TUZO Pointi ni nini?

Hii ni huduma inayowawezesha wateja wa Vodacom (malipo ya kabla) kupata TUZO pointi kadri anavyoweka salio kwenye simu yake.

2. Mteja anapataje TUZO pointi?

Malipo ya kabla-Wateja hawa wataweza kujipatia pointi mara tu wanapoongeza salio
Uhuru-Wateja hawa watapata TUZO pointi mara wanapoongeza salio kwenye akaunti zao za malipo ya kabla.

3. Ninapoongeza salio nitapata TUZO Pointi ngapi?

Mchanganuo wa pointi ni kama ifuatavyo:
  Kiwango cha kuongeza salio(TZS) Pointi unazopata
Unapoongeza salio 500 50
1,000 100
2,000 200
5,000 500
10,000 1,000

  Makato ya M-Pesa (TZS) Pointi unazopata
Makato yanayotokana na miamala ya M-PESA 500 13
1,000 25
2,000 50
5,000 125
10,000 250

4. Natumiaje TUZO pointi zangu?

Customers have the following options to use / redeem their points,
  • a. Kubadilisha pointi kwenda kwenye salio la M-Pesa(makato ni 5%)
  • b. Kutumia pointi kwa “Lipa kwa pointi” kwa wakala yeyote wa M-Pesa(makato ni 5%) **Mteja atapiga *149*01#>TUZO>TUZO POINTI>VUNA POINTI> (Nunua Kifurushi/Lipa kwa Pointi/Hamishia kwenye M-Pesa)>
  • c. Kununua vifurushi.
Vifuatavyo ni vifurushi ambavyo mteja anaweza kununua kwa kutumia TUZO pointi:
# Faida Muda Gharama (Pointi)
1 Dakika 7 (Voda-Voda) + SMS 20 (Mitandao yote)z 24 HRS 1,725
2 Dakika 15 (Voda-Voda) + SMS 20 (Mitandao yote) 24 HRS 3,450
3 70 MB 24 HRS 3,450
4 200 MB 24 HRS 7,000

5. Je nawezaje kuangalia salio la pointi zangu?

Kuangalia salio piga *149*01# kisha chagua “TUZO” kisha TUZO points.

6. Ni kwa muda gani naweza kutunza pointi zangu? Je pointi zangu zinaweza kuisha muda wake?

TUZO pointi zinadumu kwa muda wa miezi 12 kutoka kipindi umezipata.Kama pointi hazijatumika ndani ya miezi 12 zitaondolewa kwenye akaunti ya mteja.Pia kama mteja hajatumia mtandao kwa muda wa siku 30 atapoteza pointi zote alizozikusanya.

7. Je kuna ukomo wa kiwango cha mteja kukusanya pointi?

There is no limit on how many points a customer can accumulate. However, if the points are not used within their validity time (12 MONTHS) they will be expired.

8. Je nikiongeza salio zaidi ya shilingi elfu 10000 napata pointi ngapi?

Kwa kila Shilingi 10 unayoongeza salio utapata pointi 1
Mf: Salio la Shilingi 12,000= TUZO Pointi 1,200
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa