Vodacom Live

Vodacom live! Kisima cha burudani kinachokupa mwojo wa kidigitali kwenye simu yako. Unaweza kupakua muziki, video, gemu za kusisimua, pata habari za papo hapo, angalia TV kwenye simu yako na kufanya vitu vingi vinginevyo….

Huduma hii inapatikana kwa wateja wa Vodacom. Unaweza kuingia Vodacom Live moja kwa moja kupitia simu yako – na ni BURE kuperuzi!

Fungua ukurasa wa Vodacom Live

Maelezo kuhusu Vodacom Live

 • Muito kwa Wakupigiao
 • Gemu Plus
 • Vodacom Appstore
 • Mziiki
 • Habari za Papo hapo
 • Ongeza salio mtandaoni
 • M-Paper
 • Huduma za Madrasa

Muito kwa Wakupigiao

Anza kuburudika kwa kuweka Muito kwa Wakupigiao!

Pakua na kuweka miito mbalimbali kama Miito ya majina, miito ya hapa nyumbani au kimataifa kwa gharama ya Tsh 400 kwa mwezi na malipo ya kujiunga ya Tsh 30 kwa siku

Kujiunga bonyeza hapa

Kujiondoa SMS neno STOP au ONDOA kwenda 15577

Gemu Plus

Furahia gemu mbalimbali za kidigitali za kusimumua zenye ubora wa hali ya juu, Zawadi nyingi na burudani mbalimbali

  Gharama ni kama ifutavyo
 • Tsh 200 kwa Siku
 • Tsh 500 kwa Wiki
 • Tsh 1550 kwa Mwezi
 • Tsh 200 kupakua gemu ya daraja B na Tsh 400 daraja A
Kujiunga bonyeza hapa

Kujiondoa SMS neno STOP au ONDOA to 15430

Vodacom Appstore

Pakua na kufurahia aplikesheni na gemu mbalimbali na za kusisimua kwenye Smatifoni yako kupitia Vodacom Appstore. Aplikesheni na Gemu Zaidi ya 3000 kwenye majukwaa mbalimbali ya mitandao (Android, JAVA, Symbian and Bada)

Huduma hii ni kwa wateja wote wa Malipo kabla, Malipo baada (Postpaid na Hybrid)


Gharama za huduma ni kama ifuatavyo;

 • Malipo ya kujirudia Tsh 499 kwa siku 7 pamoja siku 7 za matumizi BURE
 • Malipo yasiojirudia Tsh 699 kwa siku 7 na hakuna muda wa majaribio

Kujiunga bonyeza hapa

Kujiondoa, SMS neno STOP au ONDOA kwenda 15363

Mziiki

Fuatilia mwanamziki umpendae kupitia Mziiki! Huduma rafiki, yenye muziki wa nyumbani inayokuwezesha kutengeneza orodha yako ya midundo ya ndani na nje ya nchi na kuisikiliza na wote uwapendao.
Gharama ni kama ifuatavyo;

 • Tsh 299 kwa Siku
 • Tsh 1599 kwa Wiki
 • Tsh 3699 kwa Mwezi

Kujiunga bonyeza hapa
Kujiondoa bonyeza hapa

Habari za Papo hapo

Pata habari za papo hapo na za uhakika kutoka sehemu zote za dunia moja kwa moja kwenye simu yako
Kujiunga;

KUTOKA

NENO

NAMBA YA SMS

BEI/SIKU

Mwananchi

HABARI

15569

Tsh 150

Global Sports

SPORTS

15599

Tsh 100

Global News

GLOBAL

15599

Tsh 100


Kujiondoa

KUTOKA

NENO

NAMBA YA SMS

Mwananchi

STOP/ONDOA HABARI

15569

Global Sports

STOP/ONDOA SPORTS

15599

Global News

STOP/ONDOA

15599

Ongeza salio mtandaoni

Ongeza salio mtandaoni na ununue vifurushi vya intaneti

Kufurahia huduma hii bonyeza hapa

M-Paper

Duka la kidigitali la Habari! Inakuwezezesha kupakua na kusoma habari wakati wowote kidigitali kutoka kwa wachapishaji wa magazeti na majarida (ya Kiswahili na Kiingereza) kwa nusu ya bei kama punguzo.
Ghara ni kama ifuatavyo;

Huduma za Madrasa

Pata mawaidha kwa video na sauti kutoka Baraza la Waislamu Tanzania(BAKWATA)

Angalia na Sikiliza mafundisho mbalimbali kutoka kwa Mufti wa Tanzania na Masheikh mbalimbali.

Gharama ni kama ifuatavyo ;

 • Tsh 250 kila utakapopakua sauti
 • Tsh 300 kila utakapopakua video

Kupakua bonyeza hapa

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa