MAONGEZI NA SMS OVERVIEW

Kwa nini uchague Vodacom kwa Maongezi na SMS

Mtandao bora
kwa Smatifoni yako

Mtandao wa
4G yenye kasi zaidi

Gharama Nafuu
ya Maongezi na SMS
kwa simu yako

Ni Rahisi na haraka
kwa kununua Maongezi na SMS

GHARAMA ZA MAONGEZI NA SMS

  • Cheka Zogo Mitandao Yote
  • Pinduapindua
  • RED RLX
  • SMS
  • Lipia kadri Unavyotumia
1,500 150 20 50 7 Days 2,500 100 120 100 30 5,000 300 210 100 50 10,000 500 700 100 400 30 Days 10,000 450 800 200 100 20,000 1000 1600 200 250 30,000 500 300 7GB 50,000 1500 3000 200 22GB

Gharama zote za kupiga simu nje ya vifurushi ni kama ifuatavyo: Vodacom Tsh 2.3 kwa sekunde siku nzima na Vodacom kwenda mitandao mingine ni Tsh 3.5 kwa sekunde

Gharama ya SMS zote zinazotumwa Tanzania ni Tsh 51 kwa SMS kwenda mtandao wowote

Gharama ya kuperuzi intaneti nje ya vifurushi ni Tsh 0.15 kwa KB

* Gharama hizi ni bila kodi.

-->

Cheka Zogo Mitandao Yote

Validity Price(Tsh) All network Min Voda-Voda Min International Min SMS Data(MB)
Bonge la bando
12:00am- 4:59pm
1,000 290 10
500 45 5
24 Hours 500 15 10 5
1000 40 60 20 10
1500 150 20 50
2000 350 20 10
7 Days 2500 100 120 100 30
5000 300 210 100 50
10000 500 700 100 400
30 Days 10000 450 800 200 100
20000 1000 1600 200 250
30000 800 1700 200 12GB
50000 1500 3000 200 22GB

Gharama zote za kupiga simu nje ya vifurushi ni kama ifuatavyo: Vodacom Tsh 2.3 kwa sekunde siku nzima na Vodacom kwenda mitandao mingine ni Tsh 3.5 kwa sekunde

Gharama ya SMS zote zinazotumwa Tanzania ni Tsh 51 kwa SMS kwenda mtandao wowote

Gharama ya kuperuzi intaneti nje ya vifurushi ni Tsh 0.15 kwa KB

* Gharama hizi ni bila kodi.

Pinduapindua

Muda wa matumizi Kifurushi Bei(Tsh) Uniti
Saa 24 Pindua Uniti 1,000 100 Uniti
Pindua Uniti 1,000 75 Uniti
Pindua Uniti 2,000 260 Uniti
Siku 7 Pindua Uniti 5,000 500 Uniti
Pindua Uniti 10,000 1200 Uniti
Siku 30 Pindua Uniti 15,000 1800 Uniti
Pindua Uniti 20,000 2500 Uniti

Gharama za uniti za pindua

Dakika 1 (Voda –Voda) = Uniti 1

Dakika 1 (All network) = Uniti 5

MB 1 = Uniti 1

SMS 1 = Uniti 1 (baada ya kumaliza SMS za BURE)

RED RLX

Muda wa Matumizi Bei(Tsh) Dakika za mitandao yote Dakika za voda-voda Dakika za kimataifa SMS Intaneti
24 Hours TSH 1,500 200 20 50
7 Days TSH 10,000 200 Min 400 100 4.5GB
30 Days TSH 30,000 800 Min 1700 200 12GB
TSH 50,000 1500 Min 3000 200 22GB
TSH 95,000 3000 Min 6000 30 200 50GB

SMS

Validity Price(Tsh) SMS
24 Hours 500 Unlimited
7 Days 1000 Unlimited
30 Days 1500 Unlimited

SMS

Muda wa matumizi Bei(Tsh) SMS
Saa 24 500 Bila kikomo
Siku 7 1000 Bila kikomo
Siku 30 1500 Bila kikomo

Gharama zote za kupiga simu nje ya vifurushi ni kama ifuatavyo: Vodacom Tsh 2.3 kwa sekunde siku nzima na Vodacom kwenda mitandao mingine ni Tsh 3.5 kwa sekunde

Gharama ya SMS zote zinazotumwa Tanzania ni Tsh 51 kwa SMS kwenda mtandao wowote

Gharama ya kuperuzi intaneti nje ya vifurushi ni Tsh 0.15 kwa KB

* Gharama hizi ni bila kodi.

Lipia Kadri Unavyotumia

Gharama za kutumia USSD za ki-Benki zitachajiwa TSH 50 kwa kila sekunde 20. (Kodi imejumlishwa)

Gharama ya SMS zote zinatotumwa Tanzania ni Tsh 51 kwa SMS kwenda mtandao wowote

Gharama ya kuperuzi intaneti nje ya vifurushi ni Tsh 0.15 kwa KB

Gharama zote za kupiga simu nje ya vifurushi ni kama ifuatavyo: Vodacom Tsh 2.3 kwa sekunde siku nzima na Vodacom kwenda mitandao mingine ni Tsh 3.5 kwa sekunde

* Gharama hizi ni bila kodi.

Ofa Maalumu

24 Masaa
Itadumu kwa
100
units

Pinduapindua Tsh 1,000/ 24 Saa

Bure Whatsapp
Bure Facebook
Bure SMS
Unaweza ukanunua vifurushi vingine uvipendavyo kwa kubonyeza Vifurushi zaidi

NAMNA YA KUANGALIA SALIO

Aplikesheni ya Vodacom: Pakua na ingiza Aplikesheni kwenye simu yako na kisha fungua kuona ubao
Vodacom Tovuti: Iniga kwenye wasifu wako kuangalia dashibodi
USSD: Piga *149*60#
SMS: tuma SMS yenye neno"SALIODATA" kwenda 15300

NUNUA VIFURUSHI ZAIDI

Maongezi na SMS

Piga simu, peruzi intaneti, tuma SMS, pata taarifa muhimu na burudani kwa kutumia laini ya Vodacom.

Tunatoa huduma bora kwa Gharama nafuu Zaidi, huku tukikupa mawasiano bora na yenye uhakika. Tunakupa uhakika wa mawasiliano na huduma nyingi, nafuu na zenye ubora wa hali ya juu popote pale ulipo iwe nyumbani, ofisini au safarini.

Pindupindua, REDna Cheka zinakupa uhakika wa kufurahia zaidi matumizi ya laini yako ya Vodacom. . Je wasubiri nini ? Jiunge sasa na mtandao uliosambaa na wenye kasi zaidi!.

Karibu Vodacom!

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa Unahitaji laini ya Vodacom? Bonyeza hapaPakua Aplikesheni ya Vodacom
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa