Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Voice direct connect

Huduma hii inampatia mteja uwezo wa kupiga na kupokea simu nyingi kwa wakati mmoja na pia kurahisisha mawasiliano baina ya Taasisi, Makampuni, Mashirika na wataje wao.

Inakupatia uwezo wa kuhudumia simu nyingi kwa wakati mmoja (kuanzia 30 au zaidi na njia za ziada kama E-1).

SIP connection ni jina la kimasoko kwa huduma ya simu kwa kutumia intaneti (VoIP) . Huduma hii inaunganisha simu zilizopigwa kutoka kwa tawi la kibinafsi la mteja(private branch exchange - PBX) kwenda kwenye mtandao wa umma( public switched telephone network -PSTN). Hii inaweza kutolewa kwa kutumia LTE, Fiber au Microwave

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa