Vifurushi vya SMS / SMS za Cheka.

1. Bando la SMS ni nini?

Bando la SMS ni kifurushi kinachotoa SMS tu kwa matumizi ya siku/wiki au mwezi.

2. Ninapataje bando la SMS?

Ni rahisi kabisa, piga *149*01# > SMS au *149*01#>Cheka + Zogo> Zogo> SMS bando na kisha chagua bando la SMS unalotaka.

3. Wateja wa aina gani wanaweza kununua vifurushi vya SMS?

Bando la SMS ni kwa ajili ya wateja wote wa Vodacom wa malipo ya awali. Kama huna uhakika kama wewe ni mteja wa malipo ya awali au la, tafadhali piga 100 Huduma kwa Wateja na utapata suluhisho papo hapo.

4. Kwanini nitumie bando la SMS?

Vifurushi vya SMS vinakuwezesha kufurahia SMS nyingi bila kikomo kulingana na kifurushi ulichonunua (siku/wiki au mwezi).

5. Naweza kujiunga mara ngapi?

Unaruhusiwa kujiunga mara nyingi na kwa wakati wowote kadri upendavyo.

6. Bei ya Bando la SMS ni kama ifutavyo.

Validity Price SMS
Saa 24 Tsh 500 SMS BILA KIKOMO
Siku 7 Tsh 1,000 SMS BILA KIKOMO
Siku 30 Tsh 1,500 SMS BILA KIKOMO
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa