Kuhusu Vodacom

Vodacom M-Pesa

Vodacom M-Pesa ni huduma ya kipekee iliyofanya mapinduzi Tanzania kwenye sekta ya fedha kwa kumuwezesha Mtanzania kutuma na kupokea fedha mahala popote Tanzania nzima kupitia simu ya mkononi. Kwa Vodacom M-Pesa, wateja wanahakikishiwa uhamisho wa fedha ambao ni wa haraka, salama na muhimu zaidi, wa kuaminika.

Vodacom M-Pesa Ilianzishwa mwezi Aprili, 2008, na imekuwa ikifikia kila kona ya Tanzania tangu wakati huo. Huduma hii inakuwezesha kutuma/kupokea hela kwa mtu mmoja kwenda mwingine, Mteja kwa kampuni, kampuni kwa Wateja na kampuni kwa kampuni.
Bofya hapa kujua zaidi kuhusu Vodacom M-Pesa .

Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa